Mhubiri Wa Kanisa La Christ Impact Peter Kimondo Akanusha Mashtaka Ya Ulawiti

  • | TV 47
    63 views

    Mhubiri Wa Kanisa La Christ Impact Peter Kimondo Akanusha Mashtaka Ya Ulawiti

    Mhubiri Peter Kimondo wa kanisa la Christ Impact amekana mashtaka ya ulawiti dhidi yake. Mhubiri huyo aliwasilishwa katika mahakama ya Nakuru baada ya kukamatwa jana nyumbani kwake Ruiru kwa madai kumlawiti mkazi wa Nakuru mwezi mei 2022.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __