" Mi nilibadili dini miaka mitatu nyuma kabla ya ndoa na mke wangu"

  • | BBC Swahili
    213 views
    Barnaba Classic @barnabaclassic ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka Tanzania ambaye anajulikana kwa uandishi wake wa nyimbo zenye hisia na amekuwa na mchango mkubwa katika muziki wa Bongo Fleva nchi Tanzania. Amezungumza na Regina Mziwanda masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na matumizi ya ‘KIKI’ katika muziki wake je una nafasi gani? #bbcswahili #tanbzania #nyotawaafrikamashariki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw