Miaka hadi 65 jela kwa kumrukia jaji mahakamani na kumshambulia

  • | BBC Swahili
    757 views
    Mwanamume aliyeonekana kwenye video akimshambulia jaji katika chumba cha mahakama cha Las Vegas Januari 3, amehukumiwa kifungo cha kati ya miaka 26 na 65 Deobra Redden alihukumiwa siku ya Jumanne kutumikia kifungo katika gereza la Nevada kwa shambulio hilo dhidi ya Hakimu wa Mahakama ya Clark, huko Las Vegas. Je una maoni gani kuhusu kifungo hiko cha miaka hadi 65 jela? #bbcswahili #marekani #mahakama Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw