Mifumo ya dijitali yaongeza mapato magatuzini

  • | KBC Video
    10 views

    Sheria za Posta zitafanyiwa mabadiliko ili kuziwianisha na mitindo ibuka ya kiteknolojia na masoko. Katibu katika idara ya utangazaji na mawasiliano ya simu Stephen Isaboke amesema mabadiliko yaliyolengwa yataiwezesha halmashauri ya kitaifa ya mawasiliamo kuanzisha huduma mpya katika sekta ndogo ya posta na uchumi dijitali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive