Miili 2 yagunduliwa ndani ya pipa la maji taka lililoporomoka Bamburi

  • | KBC Video
    2,050 views

    Afisa mkuu wa wazima moto katika kaunti ya Mombasa Ibrahim Basafar amethibitisha kwamba kuna miili miwili pekee ndani ya pipa la maji taka lililoporomoka jana jioni katika eneo la Bamburi Mwisho, wadi ya Kadzandani, kaunti mdogo ya Nyali, kaunti ya Mombasa. Ripoti za awali zilizotolewa jana jioni ziliashiria kwamba watu wanne walikuwa wameanguka kwenye pipa hilo lililojengwa zaidi ya miaka 40 lililo na kina cha futi 120.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive