Miili 229 yaopolewa kwenye matope baada y maporomoko ya udongo Ethiopia

  • | BBC Swahili
    1,232 views
    Maporomoko ya ardhi yaliyotokea siku ya Jumapili yameharibu sehemu za kusini mwa Ethiopia. Vikosi vya uokoaji kufikia sasa vimeopoa miili 229 ya watu waliouawa katika maporomoko mawili ya udongo kusini mwa Ethiopia, afisa wa eneo hilo ameiambia BBC. #bbcswahili #ethiopia #haliyahewa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw