Miili ya wanajeshi wa Afrika Kusini waliofariki DRC yarejeshwa nyumbani

  • | BBC Swahili
    6,432 views
    Waasi wa M23 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo wameteka miji miwili na uwanja wa ndege unaohudumia mji wa Bukavu. Wakati huo huo, Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amepokea miili ya wanajeshi 14 waliouawa mashariki mwa DRC wakati waasi wa M23 walipokuwa wakiuteka mji wa Goma.