Mikakati ya ODM

  • | Citizen TV
    254 views

    Gavana wa Kakamega Fernandes Barasa amechaguliwa mwenyekiti mpya wa kamati ya wenyekiti wa ODM kuwakilisha kaunti zote 47 .Barasa atakuwa naibu wake Sheikh Muhammad Ali kutoka eneo la Kaskazini Mashariki.Wakati huo huo, Wachira Maina ameteuliwa katibu wa kamati hiyo.