Mikataba ya Kenya-Uchina

  • | Citizen TV
    3,976 views

    Kampuni saba za Uchina zimetia saini mikataba ya uwekezaji na Kenya yenye jumla ya shillingi billioni 107. Rais William Ruto alishuhudia kusainiwa kwa mikataba hii, katika siku ya kwanza ya ziara yake nchini Uchina ambako pia amewahutubia wanafunzi wa chuo Kikuu cha Peking.