Mila ya mwanamume kutohudhuria mazishi ya Mama Mkwe kwa jamii ya Bukusu

  • | West TV
    404 views
    Katika jamii ya Bukusu wanaume hawastahili kuhudhuria mazishi ya Mama Mkwe wao bali hufika katika boma la Wakwe wao siku tatu baada ya mazishi na kuchinja ng'ombe miongoni mwa mila zingine.