'Mimi na Diamond Platnumz ni familia , tunaongea'

  • | BBC Swahili
    12,415 views
    'Itikadi za vyama au dini haziwezi kututenganisha na mashabiki, hatufanyi hivyo Tanzania' Mwanamuziki maarufu nchini Tanzania Rayvan amezungumza na Mwandishi wa BBC Debula Kamoli masuala mbalimbali ikiwemo wanamuziki kujihusisha na siasa, kuondoka lebo ya WCB na uhusiano wake na mwanamuziki Diamond Platnumz. #bbcswahili #tanzania #bongofleva Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw