Mipango ya kutia saini mkataba mwingine wa Adani

  • | Citizen TV
    808 views

    Waziri wa Kawi Opiyo Wandayi amesema Makubaliano kati ya kampuni ya KETRACO na Adani Energy solutions, kuhusu ujenzi wa nyanya za umeme nchini yanakaribia kukamilika. mkurugenzi wa KETRACO John Mativo amesema huenda bei ya kawi ikaongezwa mwakani ili kufanikisha mradi huo iwapo kandarasi ya miaka 30 itatiwa sahihi kati ya serikali ya Kenya na kampuni hiyo ya Adani