Mipasuko ya ardhi Nakuru

  • | Citizen TV
    3,341 views

    Watu zaidi ya 1000 wameathirika katika eneo la kaptebwa, Nakuru Magharibi kutokana na mvua inayoendelea kunyesha nchini. Waathiriwa hawa wakipata hifadhi ya muda katika kanisa la Kaptebwa Baptist huku baadhi ya sehemu za aridhi katika kaunti hiyo ya Nakuru zikiporomoka.