Miradi ya USAID umesitishwa na Rais Donald Trump

  • | Citizen TV
    1,312 views

    Takriban watu elfu 40 waliokuwa wameajiriwa na shirika la Kimarekani la USAID huenda wakakosa ajira baada ya serikali ya Rais Donald Trump kuwaagiza raia wake kurejea nchini. Wengi walioathirika nchini ni wafanyakazi wa afya huku athari zake zikianza kuonekana kwenye ofisi zinazofadhiliwa na shirika hili