Misa wa Wafu ya Papa Francis yaandaliwa jijini Nairobi

  • | KBC Video
    3,121 views

    Wakatoliki humu nchini walijiunga na ulimwengu kuomboleza kifo cha Hayati Papa Francis, kiongozi wa kiroho anayekumbukwa kwa unyenyekevu wake, huruma, na wito wake wa haki. Jijini Nairobi, waumini walikusanyika katika Kanisa la Holy Family Basilica, ambako misa takatifu iliandaliwa kutoa heshima kwa Papa ambaye aliishi kwa unyenyekevu na mapenzi tele.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News