Misa ya mwanaharakati wa Molo

  • | Citizen TV
    748 views

    Viongozi wa kaunti ya Nakuru sasa wanataka uchunguzi wa kina kufanywa kuhusu mauaji ya mwanaharakati wa Molo, Richard Otieno. Wakati wa ibada ya wafu iliyosheheni hisia tele, viongozi hao walidai kuwa waliokamatwa kufikia sasa sio wahusika wakuu, wakidai wahusika halisi wa mauaji ya otieno bado wako huru.