- 44 views
Mkurugenzi wa mashtaka ya umma kwa mara nyingine tena amezozana na tume ya maadili na kukabiliana na ufisadi (EACC) baada ya kutaka kuondoa kesi ya ufisadi iliyohusisha visa vingi vya kughushi vyeti vya masomo ya afisa mkuu serikalini. Katika hati ya kiapo iliyowasilishwa mbele ya mahakama ya kushughulikia kesi za ufisadi ya Milimani, EACC imepinga vikali hatua ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma ya kuondoa kesi hiyo dhidi ya Gabriel Bukachi Chapia ikisema tayari mashahidi 14 kati ya 15 walioorodheshwa wametoa ushahidi wao.Taarifa kamili ni kwenye mizani ya haki.
Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Mizani I Mkurugenzi wa mashtaka ya umma kwa mara nyingine azozana na tume ya EACC
- - Duniani Leo ››
- 5 Nov 2024 - Former Wiper Party Youth Affairs Deputy Secretary General Felix Mambo Nduli has been charged with publishing false information on Machakos Governor Wavinya Ndeti.
- 5 Nov 2024 - In 'service for Kenya, not our villages', Ruto's new narrative
- 5 Nov 2024 - KRA eyes crypto dealers in plan to raise Sh21tn in five years
- 5 Nov 2024 - Justice on trial: A to Z of Kenya's Supreme Court as it turns twelve
- 5 Nov 2024 - Baby formula: How added sugars predispose children to diabetes, hypertension
- 5 Nov 2024 - Inside court's ruling to halt Anglo-Leasing long legal battle
- 5 Nov 2024 - Starlink now struggles to keep up pace
- 5 Nov 2024 - Inside Treasury's bold plan to avoid fresh Gen Z tax revolt
- 5 Nov 2024 - Ruto wades into Rigathi Gachagua's impeachment
- 5 Nov 2024 - With just one day to go, the race for the White House is deadlocked - both at the national level and in the all-important battleground states. The polls are so close, within the margin of error, that either Donald Trump or Kamala Harris could actually be…