Mjadala wa bandari ya Bagamoyo

  • | BBC Swahili
    2,004 views
    Mjadala umeibuka kuhusu uwekezaji wa Bandari ya Bagamoyo. Wakati serikali imetoa ufafanuzi juu ya makubaliano ya uwekezaji katika bandari hiyo, Mwandishi wa BBC @sammyawami anaangazia kwanini bandari hii ni ya muhimu. - - 🎥 @frankmavura #bbcswahili #bandari #tanzania #mjadala #uwekezaji Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw