​​​​​​​Mji wa Eldoret waidhinishwa rasmi kama jiji la tano hapa nchini

  • | K24 Video
    25 views

    ​​​​​​​Mji wa Eldoret umeidhinishwa rasmi kama jiji la tano hapa nchini katika hafla iliyoongozwa na rais William Ruto katika uga wa michezo wa Eldoret kaunti ya Uasin Gishu na kuhudhuriwa na viongozi tofauti. Rais ametangaza kwamba shilingi bilioni moja nukta tatu zitatumika kuinua hadhi ya miji mikuu nchini. Hata hivyo Ruto ameonekana kukemea vikali maandamano yaliyofanyika mjini Eldoret na kuyataja kama yenye uharibifu na kuwataka wenyeji kutoruhusu matukio kama hayo tena.