Mji wa Nyeri wavuma kutokana na miundo mbalimbali ya kisasa na kukuwa kwa uchumi mjini

  • | NTV Video
    224 views

    mji wa nyeri umevikwa sura mpya na vuguvugu la ushirika ambalo limeimarisha katikati ya mji huo, kwa kuweka miundombinu ya kisasa na kuimarisha uchumi. mashirika haya yamesaidia sana katika kuwekeza katika makao makuu ya mji huu, dhamira yao ikiwa kuwawezesha wanachama na wafanyabiashara kwa jumla.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya