Mji waEldoret utapandishwa hadhi na kuwa jiji kesho

  • | Citizen TV
    116 views

    Imesalia Siku moja tu mji wa Eldoret ulioko kaunti ya uasin gishu upandishwe hadhi na kuwa jiji la tano humu nchini . Hapo kesho rais William Ruto anatazamiwa kuongoza shughuli hiyo. Lakini je serikali ya kaunti imejipanga vipi kuzalisha kawi itakayowezesha biashara katika jiji hilo.