Mkasa wa moto wasababisha uharibifu mkubwa huko Moi's bridge

  • | KBC Video
    76 views

    Wakazi wa Moi's bridge katika kaunti ya Uasin Gishu wanakadiria hasara baada ya moto kuteketeza mali ya thamani ya mamilioni ya pesa. Kulingana na walioshuhudia, moto huo unadaiwa kusababisha na hitilafu ya umeme na kuzambaa hadi duka moja la kuuza mitungi ya gesi na kusababisha mlipuko mkubwa. Wazima moto kutoka ya kaunti ya Trans-Nzoia walisaidia kuzima moto huo, ambao uliharibu zaidi ya maduka 50.Hakuna mtu alijeruhiwa na uchunguzi umeanza kubaini kilichosababisha moto huo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive