Mkataba wa kihistoria wa kisiasa kati ya Rais Ruto na Raila waibua hisia kali

  • | K24 Video
    2,011 views

    Mkataba wa kihistoria wa kisiasa kati ya rais William Ruto na kiongozi wa ODM Raila Odinga umeibua hisia kali katika ulingo wa siasa. Ingawa makubaliano hayo, yalmetiwa saini leo katika KICC, yanapongezwa na baadhi kama hatua ya kuleta umoja wa kitaifa, wakosoaji wanayataja kama usaliti kwa wananchi.