Mkenya atangazwa mshindi Tuzo ya Komla Dumor ya BBC News 2024
Rukia ni mwandishi wa habari wa Nation Media Group na amejipatia umaarufu mkubwa kwenye TikTok kupitia maudhui yake yanayohusiana na maisha ya mwandishi wa habari.
Katika sehemu ya tuzo hiyo, Rukia atatumia miezi mitatu akifanya kazi BBC News katika upande wa televisheni, redio na mtandaoni huko London, ambapo atapata ujuzi muhimu na fursa nyingine.
Tuzo ya Komla Dumor ilianzishwa mwaka 2015 kwa heshima ya mtangazaji wa Ghana na mwandishi wa habari wa BBC, Komla Dumor, anayejulikana kwa ustadi wake wa uandishi wa habari na kujitolea kwake kuwasilisha ripoti za Afrika kwa uhalisia.
#bbcswahili #bbckomladumor #bbckomladumoraward
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
24 Apr 2025
- The ministry says that the drugs are substandard.
24 Apr 2025
- EPRA issued regulations to all electrical workers.
24 Apr 2025
- Senior Secondary education starts from Grade 10.
25 Apr 2025
- Gaza rescue teams and medics said Israeli air strikes killed at least 55 people on Thursday, as the military threatened an even larger offensive if hostages were not freed soon.
25 Apr 2025
- A US judge ruled Thursday that Donald Trump cannot legally withhold federal funds from authorities offering limited protections to undocumented migrants, known as "sanctuary cities," as the president presses his aggressive mass deportation effort.
25 Apr 2025
- Martin Mwangi confessed to killing at least seven people and has yet to be charged.
25 Apr 2025
- He says Cabinet is set to consider report on regulation of religious organisations
25 Apr 2025
- The Popes since 1900: How 11 prelates rode 20th and 21st centuries
25 Apr 2025
- Helb doesn't have money to loan KMTC students, says Ogamba
25 Apr 2025
- Spirit of Ruto's China trip amid Trump tariffs and need for caution
25 Apr 2025
- Thanks to climate change, free thinkers of Nyanza have turned into sycophants
25 Apr 2025
- Rongo church followers detained for 30 days
25 Apr 2025
- Direct flights, SGR extension and trade top list of Ruto, Jinping deals