Mkenya Shashwat Harish atawazwa bingwa kwa alama -10 katika mashindano ya gofu ya Kenya Invitational

  • | TV 47
    14 views

    Shashwat Harish wa Kenya atawazwa bingwa kwa alama -10.

    Michuano hii iliandaliwa katika uwanja wa Windsor, Kaunti ya Kiambu.

    Audrey Gachora alishamiri kwenye kitengo cha umri wa 15-18.

    Tsevi Soni alinyakua ushindi katika kitengo cha wavulana wa umri 15-18.

    Wachezaji 116 kutoka mataifa 10 walishiriki mashindano haya.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __