Mkimbizi wa Cameroon Anaongoza Juhudi za Kutafuta Elimu ya Juu Nigeria
Tangu mwaka 2017, serikali ya Cameroon na wanaotaka kujitenga wanaozungumza Kingereza wamekuwa katika vita. Mgogoro huo umeuwa zaidi ya watu 6,000 na kuwafanya maelfu ya watu wengine kukoseshwa makazi. Wengi kati yao wamechukua hifadhi huko Nigeria na wanajaribu kujijenga tena kimaisha, lakini fursa na rasilimali ni chache. Hata hivyo, mkimbizi mmoja anafanya juhudi kubadilisha maisha yake kwa kujiunga na elimu ya juu kama njia ya kufikia mafanikio. Timothy Obiezu anaripoti kutoka Ogoja huko kusini mwa Nigeria.
#worldrefugeeday #wrd #nigeria #cameroon #unhcr #voa
22 Apr 2025
- Kenyan men have been accused of adopting outdated toxic traits.
22 Apr 2025
- Kenya's exports to the US are estimated at around Ksh109.7 billion (784 million USD).
22 Apr 2025
- The DCI revealed the case was escalated to the special unit.
23 Apr 2025
- Several world leaders have announced they will travel to Rome for Pope Francis's funeral on Saturday, which is likely to also draw a huge crowd in the square in front of St Peter's Basilica at the Vatican.
23 Apr 2025
- Prince William will represent Britain's royal family at the funeral of Pope Francis at the Vatican on Saturday, Kensington Palace said Tuesday.
23 Apr 2025
- The elusive dream: Is the world ready for a Pope from 'fast rising' Africa?
23 Apr 2025
- Minty business: Local farmer mints cash from fragrant crop
23 Apr 2025
- Orengo speaks language of integrity in a betrayed nation
23 Apr 2025
- Shilling's rally set for dividends season dollar demand test
23 Apr 2025
- MPs launch probe into kidney trade claims
23 Apr 2025
- Papal dais: A lasting tribute to Pope Francis
23 Apr 2025
- Over 19,000 documents uncollected as CS Ruku vows to streamline Huduma Centres
23 Apr 2025
- Kenya to miss papal conclave as Cardinal Njue exceeds voting age limit of 80 years