Mkulima mlemavu shupavu Busia

  • | Citizen TV
    307 views

    Mwanamme mmoja kutoka kaunti ya Busia mwenye changamoto za ulemavu amewashangaza wengi kutokana na uwezo wake wa kuwa mkulima tajika katika eneo bunge la Butula. Nelson Wilson Oduor kutoka kijiji cha Imbanda anajihusisha na kilimo mseto huku mazao kutoka kwa shamba lake la nusu ekari yakimsaidia kuwalipia wanawe karo na kukimu mahitaji ya kila siku.