- 476 viewsTimu ya madaktari wa upasuaji wa kimataifa wametembelea hospitali yenye msongamano wa wagonjwa huko Khan Younis Jumanne (Desemba 26), wakati walipowasili Gaza kuwasaidia madaktari wa eneo kuendelea na upasuaji mgumu. Ujumbe huo, ambao unawawakilishi kutoka shirika la “Rahma Worldwide,” taasisi ya hisani isiyokuwa ya kibiashara ya Islamic yenye makao yake Marekani, inajumuisha wataalam sita wa upasuaji. Akram Adel Moushtahi, msemaji wa ujumbe wa “Rahma Worldwide’ unaotembelea European Hospital, alisema madaktari ulimwengu mzima wako tayari kuja katika eneo hili lililozingirwa kusaidia, hususan wale ambao wanaweza kufanya upasuaji, lakini wanataka waruhusiwe kuingia Gaza. Asilimia 20 tu ya hospitali huko Ukanda wa Gaza zinafanya kazi na zote zimeelemewa, alisema Mtaribu wa Timu ya Madaktari wa Dharura wa Shirika la Afya Duniani huko kusini mwa Gaza Jumanne. Jumla ya Wapalestina 21,110 wameuawa na wengine 55,243 wamejeruhiwa katika mashambulizi ya Israeli huko Gaza tangu Oktoba 7, wizara ya afya Gaza ilisema Jumatano. Idadi hiyo inajumuisha Wapalestina 195 waliouawa na 325 waliojeruhiwa katika kipindi cha saa 24, wizara hiyo imeongeza. - Reuters #Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #GadiEizenkot #wazirimkuu
Mkurugenzi wa hospitali ya Gaza European akiwapokea madaktari bingwa kutoka Marekani
- - Suagar Boy ››
- 30 Nov 2024 - The finance chief of India's Adani Group on Friday rejected U.S. allegations that executives, including Chairman Gautam Adani, were part of a Ksh.34 billion bribery scheme, while the Indian government said it has not received any U.S. request on the…
- 30 Nov 2024 - Disaster response teams coordinated by National Government Administration have begun evacuating over 240 households affected by the ongoing floods.
- 30 Nov 2024 - European and American carmakers are set to lose up to 17 per cent of their combined annual core profits if the U.S. imposes import tariffs on Europe, Mexico and Canada, S&P Global said in a report on Friday, warning of potential credit downgrades.
- 30 Nov 2024 - The Sambaza Furaha na Safaricom caravan was on Friday in its fifth day this week traversing the areas of Homa Bay, Rodi Kopany, Rongo, and Awendo.
- 30 Nov 2024 - Swaleh Yusuf was found dead on March 17, 2024, his lover Fatuma was recently jailed for 40 years and fined Sh826m for the crime.
- 30 Nov 2024 - Nakuru South Cemetery: A final resting place where the dead no longer find peace
- 30 Nov 2024 - Kura under scrutiny for paying Sh687m for incomplete projects
- 30 Nov 2024 - NHIF staff receive redeployment letters
- 30 Nov 2024 - Origins of thanksgiving week in US and key lessons for Kenyans
- 30 Nov 2024 - Former MP's abduction puzzle in funeral chaos probe