'Mkusanyiko mkubwa wa Tembo' Sri Lanka waanza

  • | BBC Swahili
    922 views
    Tukio hili la kila mwaka katika Mbuga ya Kitaifa ya Minneriya hukusanya makundi makubwa ya tembo kati ya 150-200 ambapo hukusanyika kwenye mbuga karibu na Ziwa la Minneriya lililotengenezwa na binadamu katika eneo la kisiwa cha kaskazini na kati wakati wa kiangazi. #bbcswahili #srilanka #wanyama Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw