Mkusanyiko wa taarifa za biashara

  • | KBC Video
    78 views

    Kenya imo mbioni kuratibu sera kabambe kuhusu ubora ikilenga kuwasaidia wafanyabiashara hapa nchini kuimarisha ushindani kwa bidhaa zao katika masoko ya kimataifa.Waziri wa biashara Salim Mvurya amesema sera hiyo itatilia mkazo uzingatiaji ubora,akiutaja kuwa kigezo muhimu kwa bidhaa zinazouzwa katika masoko mengi ya kimataifa.Kwa habari hizo na nyingine ni katika kapu letu la biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive