Skip to main content
Skip to main content

Mkutano wa G20 kuandaliwa Afrika Kusini mwishoni mwa juma lijalo

  • | NTV Video
    8 views
    Duration: 2:44
    Baadhi ya maafisa wakuu wanaounda sera barani Afrika, watafiti, mashirika ya kimataifa na pia mashirika ya umma wametoa changamoto kwa Jumuiya ya Umoja wa Bara Afrika-AU pamoja na mataifa wanachama kutumia fursa mwafaka ya kikao cha mataifa wanachana wa muungano wa G20 kitakachoandaliwa nchini Afrika Kusini mwishoni mwa juma lijalo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya