Mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa G20 wafunguliwa

  • | VOA Swahili
    1,584 views
    Mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa G20 ambao mwenyeji wao ni Afrika Kusini umeanza huko Cape Town, Afrika Kusini leo Alhamisi. Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ndiye aliyefungua mkutano huo. Video inaonyesha Rais Ramaphosa akiwasili katika ukumbi wa mkutano. Endelea kutufuatilia... #africakusini #capetown #mawaziri #g20 #voa #voaswahili