Mkuu wa kanisa katoliki Papa Francis ataka vita duniani kukoma

  • | Citizen TV
    553 views

    Mkuu wa kanisa katoliki Papa Francis alitoa ujumbe wake wa Krismasi mbele ya maelfu ya waumini katika makao makuu ya St. Peters Basilica jijini Vatican. Kwenye ujumbe wake, Papa Francis amesisitia haja ya vita kusitishwa na amani kudumishwa nchini Ukraine, Lebanon na hata kwenye ukanda wa Gaza ambako mapigano yameendelea na maisha ya wengi kuangamizwa. Aidha, Papa Francis aliwarai waumini kuzingatia wasiojiweza kwa kuwa karimu kwao msimu huu wa Krismasi.