Mlengaji Shabaha Mahiri aiogoza timu ya Kenya kuandikisha matokeo ya IPSC

  • | Citizen TV
    107 views

    Mlengaji Shabaha Mahiri Ibrahim Ndung’u aliongoza timu ya Kenya kuandikisha matokeo ya kuridhisha katika makala ya mwaka huu ya mashindano ya IPSC ya bara Afrika yaliyofanyika mjini Matlosana nchini Afrika Kusini