Mmarekani asema bila ya kujali popote unapoishi kupiga kura ni muhimu

  • | VOA Swahili
    40 views
    Mmarekani anayeishi Nairobi, Kenya, licha ya kuwa mbali na Marekani, raia huyu anafuatilia siasa za Marekani. Ungana na mwandishi wetu akikuletea ujumbe mpiga kura huyu kwa wananchi wenzake wa Marekani, akisisitiza kuwa bila ya kujali unaishi wapi duniani ni muhimu kwa raia wa Marekani kushiriki katika uchaguzi ujao, Novemba 5, 2024. #mmarekani #nairobi #kenya #siasa #kupigakura #ughaibuni #voa #voaswahili