MOH yaahidi kuzuia mgomo wa matabibu

  • | KBC Video
    71 views

    Wizara ya Afya imeonyesha imani kuwa mazungumzo yanayoendelea ili kuzuia mgomo unaotarajiwa wa Matabibu yatazaa matunda. Akizungumza siku moja tu baada ya mazungumzo kati ya magavana, Wizara ya Afya na chama cha Matabibu wa Kenya jijini Nairobi, Waziri wa Afya Dkt Deborah Barasa amewataka wahudumu wa afya kuwa na subira akisema atashughulikia shinikizo zao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive