'Mother Theresa' wa Burundi awalisha watoto yatima kwa miaka 29

  • | BBC Swahili
    319 views
    Christine Ntahe ni mwanamke ambaye amekuwa akiwalisha watoto yatima kwa miaka 29 mjini Bujumbura , Burundi. Watoto anaowalisha wamempatia jina ‘’Mama dimanche’ au ‘Mama Jumapili’ kwa kuwa huwalisha chakula siku ‘’muhimu’’ ya Jumapili. Alianza kutoa chakula kwa watoto wa mitaani mwaka 1994 na mpaka sasa ameweza kuwasaidia watoto 10,000 kuishi. Bi Ntahe ambaye ni mwandishi wa zamani wa habari amepokea tuzo mbali mbali kutokana ajili ya ukarimu wake huku baadhi wakimlinganisha na ‘Mother Theresa’. #bbcswahili #burundi #wanawake