Mpango wa afya ya jamii wasifiwa

  • | KBC Video
    8 views

    Chama cha madaktari waislamu kimetaja mpango wa afya ya jamii kuwa bora zaidi kwani utekelezaji wake utafanikisha azma ya kuafikia huduma za afya kwa wote. Wakiongea kwenye mkutano mkuu wa chama hicho, madaktari. Waislamu pamoja na wahudumu wengine wa afya walisema wataunga mkono mpango wa afya ya jamii unaodhamiriwa kuwanufaisha wakenya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive