Mpango wa Atlantic una maslahi ya kimkakati kwa Morocco huko Sahel

  • | VOA Swahili
    44 views
    Nchi za Sahel, kati ya Burkina Faso, Mali na Niger zinaendelea na mapambano yao dhidi ya makundi ya wapiganaji ambao wameeneza ukosefu wa utulivu katika eneo hilo. Ungana na mwandishi wetu akikuletea maelezo kamili ni kwa nini nchi hizi tatu zinalaumiwa kuwa ni kikwazo katika juhudi za kuwashinda wanamgambo hao ia . Pia sababu za kuzinduliwa kwa mpango wa Atlantic na maslahi ya kimkakati. Endelea kusikiliza... #kijeshi #serikali #sahel #burkinafaso #mali #niger #morocco #mkakati #atlantic #voa #voaswahili