- 102 viewsDuration: 3:21Mpango wa kijamii mtaani Dandora unabadili maisha ya waliokuwa watoto wanaorandaranda mitaani ambao sasa wana fursa kuwa na familia. Mpango huo unatoa fursa kwa watoto hao kupata mahitaji ya kimsingi katika juhudi za kukabiliana na ongozeko la idadi ya familia zinazorandaranda mtaani pamoja na kuhakikisha watoto wanakuzwa kwenye maadili ya familia. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive