Mpango wa serikali wa ujenzi wa bwawa la Ndarugu II eneo la Gatundu yakwama

  • | Citizen TV
    362 views

    Mpango wa serikali wa ujenzi wa bwawa la Ndarugu 2 eneo la Gatundu umekwama baada ya mkutano wa kuwashawishi wakazi, ulioandaliwa na kampuni ya maji ya athi na tume ya kitaifa ya ardhi kusambaratika.