Mpiga makasia amezwa na kutemwa na nyangumi

  • | BBC Swahili
    2,473 views
    'Nilidhani nimekufa' Mpiga makasia mmoja amezwa na nyangumi mwenye nundu na kumtema bila kumjeruhi huko Patagonia ya Chile. Adrián Simancas ambaye alikuwa na baba yake wakati tukio hili likimtokea anaelezea. #bbcswahili #chile #baharini Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw