Mpiga ngoma mdogo Nigeria

  • | BBC Swahili
    171 views
    Sofiat Wuraola Olaide, maarufu kama Ayanwura, ni msichana mdogo wa miaka sita kutoka Nigeria, ambaye anajulikana kwa ustadi wake wa kupiga ngoma za asili. Ayanwura alianza kupiga ngoma akiwa na umri wa miaka minne na sasa anapata umaarufu mkubwa kupitia mitandao ya kijamii. Ayanwura ambaye anataka kuwa wakili, anajivunia kutumbuiza katika hafla ya kuapishwa Rais ya Mei 29. #bbcswahili #nigeria #ngomazaasili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw