Mradi wa kukomesha ukeketaji na dhulma nyinginezo za kijinsia kaunti ya Smburu wakamilika

  • | Citizen TV
    106 views

    Mradi wa kukomesha ukeketaji na dhulma nyinginezo za kijinsia uliokuwa ukiendeshwa kwa ushirikiano baina ya serikali ya Kenya na Finland kaunti ya Samburu umekamilika huku wakaazi wakitaka juhudi zaidi kuendelezwa. Mradi huu umesaidia kutoa hamasisho kwa wakaazi