Mradi wa maji Ithanga umetoa matumaini makubwa kwa wakazi wa Gatanga

  • | KBC Video
    85 views

    Ni taarifa inayoashiria maabadiliko na matumaini kwa maelfu ya wakazi wa nyanda za chini mwa eneo la Gatanga katika kaunti ya Murangá, baada ya mradi wa maji uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu na hamumu kuwa sababu ya kutabasamu katika eneo hilo. Kizazi baada ya kizazi,familia nyingi katika wadi za Ithanga na Kakuzi Mitumbiri,zimestahimili changamoto za kutafuta maji safi ya kunywa. Hata hivyo, mradi huo unaogharimu shilingi bilioni 3.5 unatarajiwa kuboresha maisha yao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive