Mradi wa maji waleta amani mpakani Laikipia-Isiolo

  • | Citizen TV
    236 views

    Wakazi wa eneo la Tura mpakani mwa kaunti za Laikipia na Isiolo, sasa wameanza kushuhudia amani baina yao na majirani kufuatia kuzinduliwa kwa mradi wa maji.