Mradi wa wanawake wa Kimasai kupambana na mabadiliko tabia nchi

  • | BBC Swahili
    452 views
    Tazama Mradi wa wanawake wa Kimasai wa kutengeneza vidimbwi vya umbo la ‘nusu mwezi’ Kusini mwa Kenya kwa lengo la kupambana na mabadiliko ya tabia nchi katika ardhi yao. Mhifadhi Lanoi Mitikani anawasaidia wanawake wa Kimasai kuchimba vidimbwi hivyo na kurejesha ardhi iliyoharibiwa na ukame. Lanoi amewawezesha wanawake kuchimba zaidi ya ekari 3,000 vya vidimbwi hivyo #bbcswahili #kenya #mazingira Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw