Mrengo wa Azimio unaogemea upande wa Kalonzo wadai kuwa wako tayari kuvunja ndoa baina yao na ODM

  • | K24 Video
    1,096 views

    Mrengo wa Azimio unaogemea upande wa Kalonzo Musyoka sasa unadai kuwa wako tayari kuvunja ndoa baina yao na ODM. Wakizuru kaunti za meru na embu viongozi hao walijipigia upatu wakidai kuwa mikakati ipo tayari ya kuanzisha upinzani mpya kufuatia ya madai ya odm kuingia serikalini. Viongozi hao wanadai kutukuwa na mkutano wa muungano huo kesho kuhusu mustakabali wa Azimio