Msaada wa chakula Boni

  • | Citizen TV
    270 views

    Ni afueni kubwa kwa jamii zinanoishi msituni Boni kaunti ya Lamu baada ya kupokea chakula cha msaada kutoka kwa wafadhili.