Msaada wa Matibabu: John Ojanji anayeugua saratani ya tezi dume anahitaji milioni 4

  • | KBC Video
    53 views

    Familia moja mjini Busia inaomba msaada wa kifedha ili kufanikisha matibabu ya jamaa yao ambaye ni mgonjwa wa saratani. John Ojanji, Mwanahabari mzoefu, amekuwa akiugua saratani ya tezi dume kwa zaidi ya mwaka mmoja na anahitaji msaada wa kifedha ili kupata matibabu yake na chemotherapy katika Hospitali ya matibabu maalum ya Kakamega.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive